Adele Afunika Tuzo za Brit
Adele.
London’s O2 Arena
Malkia wa pop duniani, Adele kutoka nchini Uingereza, amefunika kwenye tuzo za Brit 2016 baada ya kunyakuwa tuzo nyingi zaidi kuliko wengine.
Rihanna na Drake wakicheza wimbo mpya wa Rihanna “Work” aliyomshilikisha Drake wakati wakitumbuiza kwenye sherehe za ugawaji wa tuzo hizo.
Tukio hilo la kihistoria kwenye tasnia ya muziki duniani, limefanyika usiku wa kuamkia leo huko London’s O2 Arena, Uingereza ambapo mwanadada Adele alinyakuwa tuzo nne za Brit.
Adele akitoa machozi baada ya kutajwa tuzo ya tatu kati ya nne alizoshinda.
”Kurudi baada ya mda mrefu na kupokewa kwa taadhima ni muhimu sana kwangu,”alisema Adele.
Nyota huyo aliyefunga hafla hiyo kwa kucheza wimbo wake wa ‘When we Were Young’, pia alipokea tuzo ya wimbo bora nchini Uingereza pamoja na tuzo ya Kimataifa ya ufanisi.
Sherehe hiyo pia ilishirikisha kumbukumbu za marehemu David Bowie zilizoendeshwa na Annielennox na Gary Oldman.
Oldman baadaye alikubali tuzo kwa niaba ya mwanamuziki huyo na familia.
Justin Bieber
Mbali na Adele, wasanii wengine waliojinyakulia tuzo ni James Bay, Coldplay, Justin Bieber, Jack Garratt na wengine.
WASHINDI WA TUZO ZA 2016 BRIT 2016
BRITISH MALE SOLO ARTIST
James Bay – WINNER
Aphex Twin
Calvin Harris
Jamie XX
Mark Ronson
BRITISH FEMALE SOLO ARTIST
Adele – WINNER
Amy Winehouse
Florence + the Machine
Jess Glynne
Laura Marling
BRITISH GROUP
Coldplay – WINNER
Blur
Foals
One Direction
Years & Years
BRITISH BREAKTHROUGH ACT
Catfish and the Bottlemen – WINNER
James Bay
Jess Glynne
Wolf Alice
Years & Years
BRITISH SINGLE
Adele Hello – WINNER
Calvin Harris & Disciples How Deep Is Your Love
Ed Sheeran & Rudimental Bloodstream
Ellie Goulding Love Me Like You Do
James Bay Hold Back The River
Jess Glynne Hold My Hand
Little Mix Black Magic
Olly Murs ft. Demi Lovato Up
Philip George Wish You Were Mine
Years & Years King
MASTERCARD BRITISH ALBUM OF THE YEAR
Adele 25 – WINNER
Coldplay A Head Full of Dreams
Florence + the Machine How Big, How Blue, How Beautiful
James Bay Chaos and the Calm
Jamie XX In Colour
BRITISH PRODUCER OF THE YEAR
Charlie Andrew – WINNER
Mark Ronson
Mike Crossey
Tom Dalgety
BRITISH ARTIST VIDEO OF THE YEAR
One Direction Drag Me Down – WINNER
Adele Hello
Calvin Harris & Disciples How Deep Is Your Love
Ed Sheeran Photograph
Ellie Goulding Love Me Like You Do
Jessie J Flashlight
Little Mix Black Magic
Naughty Boy ft. Beyonce & Arrow Benjamin Runnin’ (Lose It All)
Sam Smith Writing’s On The Wall
Years & Years King
INTERNATIONAL MALE SOLO ARTIST
Justin Bieber – WINNER
Drake
Father John Misty
Kendrick Lamar
The Weeknd
INTERNATIONAL FEMALE SOLO ARTIST
Björk – WINNER
Ariana Grande
Courtney Barnett
Lana Del Rey
Meghan Trainor
INTERNATIONAL GROUP
Tame Impala – WINNER
Alabama Shakes
Eagles of Death Metal
Major Lazer
U2
CRITICS’ CHOICE
Jack Garratt – WINNER
BRITs GLOBAL SUCCESS AWARD
ADELE – WINNER
Identified by the global sales success of British Acts of their latest project/album.
BRIT ICON AWARD
David Bowie – WINNER
Mashabiki (kutoka kushoto ni, Jade Thirlwall, Perrie Edwards, Leigh-Anne Pinnock na Jesy Nelson).Drake na Rihanna wakikamua.