The House of Favourite Newspapers

Adele Ndiye Mwanamuziki wa Kike Tajiri Zaidi Uingereza

0

adele (4)

KULINGANA na jarida la Kimataifa la Sunday Times Rich List, (orodha ya matajiri), staa wa R&B Adele anayetamba na ngoma zake kibao ikiwemo ile ya Hello ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi nchini Uingereza kwa sasa kwa kuwa na anautajiri unaofikia Euro milioni 85, sawa na Sh. trilioni 210 za Kitanzania.

Adele mwenye umri wa miaka 27 ameongeza kipato chacke zaidi ya mara mbili kutoka Euro milioni 35 mwaka mmoja uliopita hadi kufikia Euro milioni 85 za sasa huku akishika nafasi ya 30 kwa matajiri kwa ujumla (wanaume na wanawake) wa Uingereza na Visiwa vya Ireland na kuwa miongoni mwa mamilionea.

Adele pia ametajwa kuwa tajiri namba moja kwa watu waliochini ya umri wa miaka 30 nchini humo.

Adele – Hello

Hii Hapa Listi ya matajiri wote wa Uingereza

1. Sir Paul McCartney and Nancy Shevell £760 million
2. Lord Lloyd-Webber £715 million
3. U2 £500 million
4. Sir Elton John £280 million
5. Sir Mick Jagger £235 million
6. Olivia and Dhani Harrison £220 million
6. Keith Richards £220 million
8. Ringo Starr £200 million
9. Michael Flatley £198 million
10. Sting £185 million
11. Eric Clapton £160 million
11. Rod Stewart £160 million
11. Roger Waters £160 million
14. Sir Tom Jones £155 million
15. Sir Tim Rice £150 million
16. Robbie Williams £145 million
17. Ozzy and Sharon Osbourne £135 million
18. Brian May £120 million
18. Charlie Watts £120 million
20. Roger Taylor £115 million
21. Phil Collins £110 million
22. George Michael £105 million
22. Jimmy Page £105 million
24. Robert Plant £103 million
25. John Deacon £100 million
25. David Gilmour £100 million
27. Calvin Harris £95 million
28. Enya £91 million
29. Iman Abdulmajid and Duncan Jones and family £90 million
30. Adele £85 million
31. Gary Barlow £75 million
31. Mark Knopfler £75 million
31. Nick Mason £75 million
31. Pete Townshend £75 million
35. Engelbert Humperdinck £70 million
36. Noel and Liam Gallagher £65 million
36. Brian Johnson £65 million
36. Chris Martin £65 million
39. Barry Gibb £60 million
39. John Paul Jones £60 million
41. Sir Cliff Richard £58 million
42. Guy Berryman £55 million
42. Jonny Buckland £55 million
42. Will Champion £55 million
42. Kylie Minogue £55 million
42. Ronnie Wood £55 million
47. Jay Kay £50 million
47. Sir Van Morrison £50 million
49. Peter Gabriel £45 million
49. Mick Hucknall £45 million
49. Ed Sheeran £45 million
49. Bernie Taupin £45 million

Leave A Reply