The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi 15 Wizara ya Afya, Afisa Ustawi wa Jamiii Daraja La II

0

POST AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II – 15 POST
POST CATEGORY(S) HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL
HR & ADMINISTRATION
RELIGIOUS STUDIES
SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL DEVELOPMENT
TAXATION AND SOCIAL PROTECTION
EMPLOYER Ministry Of Health (MOH)
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-05 2022-05-18
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.    Kuendesha Usaili wa wahudumiwa (watu wenye ulemavu, wazee, familia zenye   matatizo, watoto na vijana wenye matatizo mbalimbali);
ii.    Kufanya ukaguzi  wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao kamili;
iii.    Kuandaa taarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa;
iv.    Kupokea na kukusanya taarifa za Ustawi wa Jamii kutoka kwa wadau na vituo mbalimbali vya Ustawi wa Jamii;
v.    Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za watu wenye ulemavu, wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo;
vi.    Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya uandikishaji vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, malezi ya kambo (foster care) na vituo vya walezi wa watoto wadogo mchana;
vii.    Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Rais kutoka kwa akina mama, waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja;
viii.  Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yatima au wanaohitaji misaada mbalimbali;
ix.   Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali toka kwenye familia za watu wenye dhiki;
x.    Kuhoji na kuandaa taarifa za washitakiwa;
xi.    Kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya Ufundi Stadi vya watu wenye ulemavu, Mahabusu za watoto na shule za maadilisho;
xii.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa wenye Shahada ya Sanaa /Stashahada ya Juu katika fani za ‘Social Work’ , ‘Sociology’  ,’Psychology’,’Social Protection’,’Guidance and Counseling’,’Theology’,’Divinity’,’Child Protection’,’Social Policy’,’Early Childhood Development’ au ‘Social Gerontology’  kutoka Chuo cha elimu ya juu  kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS D

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave A Reply