Aggrey Mwanri Alivyogeukia Uchungaji – Video

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri kwa sasa amekuwa mwinjilisti katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ambapo Jumapili ya Pasaka na juzi Jumatatu ya Pasaka Aprili 05, 2021, ameendesha ibada huko wilaya ya Siha na kusoma mistari ya Biblia na kuwapa neno waumini.

 

Toa comment