The House of Favourite Newspapers

Aggy Baby Afunguka Ukweli Kutoka Na Meneja Wake – ”Kajala Na Mitumba, Aniombe Msamaha”-Video

0
Agnes Suleiman ‘Aggy Baby’.

KAMA ni mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea mitandaoni, basi jina la Agnes Suleiman ‘Aggy Baby’ siyo geni kwako. Akifanya mahojiano na Global TV Online kupitia kipindi cha Mapito amedai kuwa anaimba kuliko mwanadada malkia wa muziki wa Kizazi Kipya nchini, Zuhura Othman almaarufu Zuchu ni vile tu watu hawajamsikiliza vizuri.

Pia amefungukia mambo mengi kuhusu maisha yake binafsi pamoja na maisha yake ya sanaa za uigizaji na muziki na mwanaume anayetaka kumuoa anapaswa kulipa mahari ya shilingi milioni 500.

Leave A Reply