UWANJA mpya wa ndege wa Instanbul nchini Uturuki, umezinduliwa rasmi Jumatatu wiki hii, lakini hautafanya kazi kikamilifu hadi mwishoni mwa mwaka huu. Kwa nini kuzinduliwa kwake kumeharakishwa hivyo?
Ni kwa vile Jumatatu, Oktoba 29, ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya mwaka wa 95 tangu Uturuki kujitangaza kuwa jamhuri.
Comments are closed.