WOMEN’S DAY: Airtel Divas Waja na Hii Kuwashukuru Wanaume Wote!
Meneja Uhusiano wa Airtel Bi. Dangio Kaniki na Jackson Mbando wakiwa na nyuso za furaha katika Siku ya Wanawake Duniani.
Akiongoza wanawake wenzie wote (Airtel Divas) katika maadhimisho hayo Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu, Bi Stella Kibacha, alisema “leo ni siku yetu Wanawake, ambapo inaadhimishwa dunia nzima kila tarehe8 Machi.
Lakini style yetu sisi Divas wa Airtel tumeamua kuwashuru kwa zawadi mwanaume wote hapa Airtel, ni ukweli kuwa tunashinda nao kila siku wanatuonyesha ushirikiano wa kutosha, hawana ubaguzi tunafanya kazi kwa usawa na kusikilizana, kwa kweli tunawashukuru sana”
Bi Kibacha alieleza kuwa “Mwaka huu kauli mbiu ya siku ya wanawake ni ‘#BalanceforBetter’ ikipambanua mambo mengi kati yao ni kujipanga na kupangilia kila jambo ili kuwa na mafanikio”
“Airte Divas Tumejipanga kisawasawa kuhakikisha kila jambo kazini au nyumbani linakaa sawa kwa manufaa yetu na taifa kwa ujumla” alimaliza kwa kusema Bi Kibacha,
#AIRTEL #DABODATA #NASMATIKA
Comments are closed.