The House of Favourite Newspapers

Airtel fursa yawataka vijana Bukoba kutoogopa vikwazo

0

FURSA 1Mjasiliamali wa mjini Bukoba Adamu Hemed akipokea cheti kutoka kwa meneja biashara wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Mohamedi kabeke baada ya kuhudhuria mafunzo ya ujasiliamali yaliyoendeshwa na mradi wa Airtel FURSA kwa Zaidi ya vijana 200. kati ni Afisa ujasilimali wa VETA mjini bukoba Bw, Frabius Ngemela na Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando mwishoni mwa wiki hii mkoani Kagera

FURSA 2Mkulima wa mboga mboga kutoka Bukoba mjini Agnetha Frenk akipokea cheti toka kwa meneja wa biashara Airtel BUkoba Mohamed kabeke baada ya kuhudhuria mafunzo ya ujasiliamali yaliyoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mjini Bukoba kati ni Afisa ujasilimali wa VETA mjini bukoba Bw, Frabius Ngemela na anaefuata ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki kwa siku mmoja na kuhudhuriwa na vijana zaidi ya 200 mkoani Kagera

FURSA 3Mkazi wa mtaa wa Nshambya mjini Bukoba Janath Shafi anayejishughulisha na biashara ya ufugaji wa mbuzi akipokea cheti toka kwa meneja wa biashara Airtel BUkoba Mohamed kabeke baada ya kuhudhuria mafunzo ya ujasiliamali kwa vijana yaliyandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Airtel mkoani Kagera. cheti baada ya kuhudhuria mafunzo ya ujasiliamali yaliyoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Katikati ni mwalimu wa mambo ya ujasiliamali ambae pia ni Afisa ujasilimali wa VETA mjini bukoba Bw, Frabius Ngemela na anaefuata ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki kwa siku mmoja na kuhudhuriwa na vijana zaidi ya 200 mkoani Kagera

FURSA 4Kijana anayejishughulisha na ufugaji wa kuku kutoka Kijiji cha Katoka Wilaya ya Bukoba Vijijini Lucas Joseph akipokea cheti toka kwa meneja wa biashara Airtel BUkoba Mohamed kabeke baada ya kuhudhuria mafunzo ya ujasiliamali kwa vijana yaliyandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Airtel mkoani Kagera. Katikati ni mwalimu wa mambo ya ujasiliamali ambae pia ni Afisa ujasilimali wa VETA mjini bukoba Bw, Frabius Ngemela na anaefuata ni meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki kwa siku mmoja na kuhudhuriwa na vijana zaidi ya 200 mkoani kagera

FURSA 5Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya ujasiliamali yaliyofanyika mjini Bukoba yaliondaliwa na kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mpango wake wa fursa tunakuwezesha. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki kwa siku mmoja na kuhudhuriwa na vijana zaidi ya 200 mkoani kagera

Leave A Reply