The House of Favourite Newspapers

Airtel Trace Music Stars Afrika kuonyeshwa leo kupitia Chaneli ya Trace

0

airtelMwanamuziki nguli kutoka nchini marekani na jaji mkuu wa shindano la Airtel Trace Music Stars Keri Hilson (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki waliongia tatu bora ambao wametoka nchi ya Zambia, Tanzania na Madagascar.

Shindano la Airtel Trace Music Stars la Afrika lililofanyika nchini Nigeria linategemea kuonyeshwa live leo kupitia kituo cha television cha Trace chanel 325 saa tatu kamili usiku, katika shindano hilo tutashuhuhia washiriki kutoka nchi 10 barani Afrika wakichuana vikali kila mmoja akionyesha kipaji chake cha kuimba ikiwemo mshiriki kutoka Tanzania Bi Melisa  John.

Ili kupata burdani na kushuhudia ni jinsi gani washiriki hawa walivyoonyesha vipaji leo saa 3 kamili usiku fungua kituo cha TRACE Urban namba 325 kinachopatikana kupitia kingamuzi cha DSTV. Marudio ya kipindi hiki ni siku yatakuwa siku ya ijumaa saa 8 mchana katika kitu hicho hicho cha TRACE

Leave A Reply