Modem ya “Airtel Wingle” Yenye WiFi‏ Yazinduliwa

pic6

Mwandishi wa habari wa EATV, Alex Lazaro akikabithiwa modemu yake ya Airtel Wingle mara ya kuibuka mshindi katika ofa iliyoendeshwa wakati wa uzinduzi.pic7

Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, Vicky Kimaro akikabithiwa modemu yake ya Airtel Wingle mara ya kuibuka mshindi katika ofa iliyoendeshwa wakati wa uzinduzi.pic8Mwandishi wa habari wa TBC TV, Oliver akikabithiwa modemu yake ya Airtel Wingle mara ya kuibuka mshindi katika ofa iliyoendeshwa wakati wa uzinduzi.


Loading...

Toa comment