The House of Favourite Newspapers

Aishi Manula Aagana na Ukapera, Afunga Ndoa na Aisha

Kipa namba moja wa Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Aishi Manula ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye Aisha.

Manula hakwenda Zanzibar ambako Simba inashiriki michuano ya Kombe la Mapinzudi ili kukamirisha kazi hiyo ya kuuaga ukapera. Taarifa zinaeleza, Aishi na Aisha wamekuwa wapenzi wa siku nyingi.

Comments are closed.