The House of Favourite Newspapers

Wanne wafa katika ajali ya Tabata-Matumbi, Dar

0

ajali

Orodha ya majeruhi katika ajali iliyotokea leo asubuhi eneo la Tabata-Matumbi, Dar likihusisha magari matatu; daladala, lori la ng’ombe na lori la mchanga.

ajaliii (2) Hali halisi eneo la tukio.
ajaliii (4)
ajaliii (6)ajali-(1) ajali-(4)Maofisa wa Polisi wakiwa eneo la tukio.ajali-(2) ajaliii (1)Hali ilivyokuwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.
ajaliajali (3)

Taswira halisi ya ajali hiyo.

WATU wanne wamepoteza maisha huku 25 wakijeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi eneo la Tabata-Matumbi jijini Dar es Salaam ikihusisha magari matatu, daladala (DCM) lililokuwa na abiria lifanyalo safari zake kati ya Gongo la Mboto na Simu 2000, Lori lililobeba mchanga na Lori lililokuwa limebeba Ng’ombe likielekea Vingunguti.

Magari hayo yaliyopata ajali ni FAW yenye namba T 447 DBH, DCM lenye namba za usajili T 629 CRT na Scania lenye namba T 109 DDX.

Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kadri tutakavyozipata.

Leave A Reply