The House of Favourite Newspapers

Ajali ya Gari Yaua 6 Wakienda Msibani, Wanne Kati Yao ni wa Familia Moja

0
Ajali ya gari iliyoua watu 6

WATU sita wamefariki ambapo wanne kati yao ni wa familia moja, watu hao wamefariki dunia kwa ajali ya gari dogo katika eneo la Inala mkoani Tabora, wakati wakitokea Dar es Salaam kuelekea Wilaya ya Urambo Tabora katika mazishi ya Mama mzazi wa mmoja wa marehemu hao.

 

Ajali hiyo imetokea Juni 25, 2022, majira ya jioni, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda gari ndogo ilihama katika upande wake na kuingia kwenye uvungu wa lori lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Singida.

Leave A Reply