The House of Favourite Newspapers

Akyoo Awajibu Wanaomsema Hajaumizwa Kifo Cha Mumewe, ”Hakuna Siku Sijalia Nina Moyo Wa Pekee” – Video

0

Mkurugenzi wa @akyoo_motors @anna_akyo amelamba dili la ubalozi katika kampuni ya @Jema_auto_tz inayojishughulisha na Usambazaji wa magari nchini.

@jema_auto_tz wanahakikisha wanakusafirishia gari lako kutokea sehemu uliponunulia na kukuletea ulipo, unaweza kuagiza gari kuanzia moja na zaidi na yatafika kwa wakati sahihi.

Wasiliana nao kupitia namba 0752 320 509 ili uweze kuagiza kiurahisi kwa bei nafuu zaidi, wanapatikana Dar es salaam pamoja na mwanza.

Leave A Reply