The House of Favourite Newspapers

Ali Kiba Hivyo Vipensi Vepee!!!!!

0

NYOTA kutoka kiwanda cha Bongo Fleva , Ally Salehe Kiba almaarufu kwa jina la Ally Kiba, amekuwa gumzo mjini kwa sasa kufuatia muonekano wake wa staili yake mpya ya mavazi ambayo haijazoeleka.

Ali kiba akiwa na Watangazaji wa Redio Clouds

Kiba ambaye staili yake ya sasa imezamia kwenye vipensi au vinjunga kama wanavyoita watoto wa mjini, hivi karibuni ameonekana katika picha mbalimbali akiwa amevaa hivyo, hali iliyowashangaza mashabiki wake kwa sababu si kawaida yake kuvaa hivyo.

NA ISRI MOHAMED/GPL

Leave A Reply