The House of Favourite Newspapers

Alichokifanya RC Mwanri Mradi wa Maji, Utashangaa – Video

Baada ya kamati iliyoundwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora kuchunguza ujenzi wa tanki la maji katika Kijiji cha Ibhelamilundi na kubaini mapungufu kadhaa ya kiufundi, Serikali mkoani humo sasa imeiagiza kamati hiyo kuuchunguza mradi mzima wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda mkoani Tabora.

 

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ametoa maagizo hayo baada ya kupata mashaka kufuatia mapungufu hayo katika Mradi huo mkubwa unaogharimu zaidi ya Tsh. Bilioni 602.

MSIKIE RC Mwanri Akifunguka

Comments are closed.