ALICHOKISEMA BASHE BAADA YA KUTEULIWA KUWA NAIBU WAZIRI

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe.

Baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kumteua Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Kuchukua nafasi ya Innocent Lugha Bashungwa ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.

Kupitia akaunti yake ya Twitter Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ameyasema haya ”Ndg zangu awali nimshukuru Allah kwa yote ,Namshukuru kwa Dhati Mh Rais kwa Imani yake ,nijikumu zito nimelipokea kwa Uwezo wa Allah Tutavuka ni sector iloajiri Watanzania wengi na changamoto nyingi Nawashukuru Watanzania wananchi wa Nzega na Kwa Dhati chama changu.”

BREAKING: Rais Magufuli AMTUMBUA Waziri January Makamba


Loading...

Toa comment