The House of Favourite Newspapers

Alichokisema Duma Katika Uzinduzi Wa Filamu Yake Mpya -Video

Msanii nguli wa filamu nchini, Daudi Michael ‘Duma’ usiku wa Agosti 18 (jana) amefanya uzinduzi wa filamu yake mpya inayoitwa Nipe Changu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.

 

Akizungumza na waandishi katika uzinduzi huo,  Duma amezishukuru media kwa kumsapoti na kutoa rai kwa wasanii wenzie kuwa waendelee kufanya kazi nzuri siku hadi siku.

Comments are closed.