The House of Favourite Newspapers

Alichokisema Nape Nnauye Kuhusu CCM

0
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye.

Usiku wa kuamkia leo Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye ameandika ujumbe wake wa wazi aliyowahi kuandika kipindi cha nyuma kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM.

“Watu wengi wanaamini nimeisaidia sana CCM lakini ukweli ni kuwa CCM imenisaidia sana mimi kuliko mimi nilivyoisaidia, CCM ni SHULE.

“Bahati niliyopata kwa kuwa muenezi CCM ni kufanya kazi na ndg Kinana ni mwema, mzalendo, hodari, uwezo mkubwa, upendo na maarifa mengi” Ameandika Nape

Kasema haya kupitia ukurasa wake wa Twitter;

 

Leave A Reply