The House of Favourite Newspapers

Alichokisema Wakili wa Masogange Baada ya Taarifa za Msiba – Video

KUFUATIA kifo cha ghafla cha Msanii wa filamu za Kibongo na video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ katika Kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es Salaam, huyu hapa wakili wake, Robert Simwanza akielezea msiba huo ulioikumba tasnia ya sanaa nchini na Watanzania kwa ujumla.

VIDEO: MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.