Alikiba Adata Na ‘Kadogo’ Video Mpya
December ni mawe juu ya mawe na wasanii wanataka show za ukweli na uhakika kwa kujaza mashabiki.
Alikiba amedondosha video ya wimbo wake mpya ‘Kadogo‘
Video imeongozwa na Kevin Bosco Jnr.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.