Alikiba Afunguka Live Wimbo Wake Kupoteza Views YouTube – Video

STAA anayetamba na ngoma yake mpya ya Mvumo wa Radi, Alikiba amefunguka kuhusu malalamiko yake kwamba amefanyiwa mchezo mchafu na wadukuzi wa mitandao ‘hackers’ baada ya video yak hiyo kupunguziwa views kwenye mtandao wa YouTube.

“Mambo kama haya humtokea mtu yeyote, hata wasanii wakubwa nje ya nchi huwatokea sana tu, hackers wanaweza kufanya hivyo, mimi pia limenitokea, sasa hiyo ni kazi ya YouTube wenyewe kuli-fix.

“Kama likishakuwa solved, views zinaweza ku-reflex, so far tunaendelea vizuri, kwa hiyo hilo halinipi shida sana,” alisema Alikiba.

Loading...


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment