The House of Favourite Newspapers
gunners X

Alikiba Amuimbia Wema ‘Happy Birthday Bichwa’ – Video

0

STAA wa Bongo Fleva, Alikiba amemuimbia msanii mwenzake wa Bongo Movies, Wema Sepetu kumtakia heri ya kuzaliwa #happybirthday huku akisema kuwa hii ni zaidi ya kumposti kwenye mitandao ya kijamii.

 

Kiba amefanya tukio hilo leo Jumatano, Septemba 29, 2021 wakati akizungumza na wanahabari kutambulisha albamu yake mpya ya ‘THE ONLY ONE KING’ na kuongeza kuwa hakujua kama jana ilikuwa birthday ya Wema.

 

Aidha, Kiba amesema kuwa anampenda Wema wala hajawahi kugombana naye wala kutofautiana naye tangu azaliwe.

Leave A Reply