The House of Favourite Newspapers

ALIKIBA AZINDUA RASMI KINYWAJI CHAKE MOFAYA – PICHA NA VIDEO

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ametumia sherehe ya harusi yake kuzindua rasmi kinywaji chake kinachofahamika kwa jina la Mofaya katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambako harusi hiyo ilikuwa ikifanyika usiku wa kuamkia leo Jumatatu.

Kinywaji hicho cha Mofaya hakina kilevi.

Ally Kiba Azindua KINYWAJI Chake Rasmi……

Comments are closed.