The House of Favourite Newspapers

Alikiba feat Nandy – Bailando (Track No.5)

0


MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay Melody, Nandy, Marioo.

Nyimbo ambazo zipo kwenye EP yake hiyo ya Starter ni Nahodha, Top Notch, Kheri, Hatari, Bailando, Chibaba, Nahodha.

Leave A Reply