The House of Favourite Newspapers

Alikiba, Fid Q, Shetta Wamzika Mbalamwezi – Video

STAA wa Bongo Fleva, Alikiba ameungana na waombolezaji wengine kuaga na kuzika mwili wa aliyekuwa msanii wa Kundi la The Mafik, Abdallah Yusufu Matimbwa ‘Mbalamwezi’, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana.

 

Mbali na Harmonize, wasanii wengine wakubwa waliofika kwenye msiba huo ni Alikiba, Fid Q, Shetta, Beka Fleva, Barnaba na wengine.

 

Mwili wa Mbalamwezi uliokotwa usiku wa kuamkia jana ikiwa ni saa chache baada ya kuondoka nyumbani kwao na gita lake, ilidaiwa kuwa mwili huo ulikutwa na majeraha ya kupigwa na kuvunjwa miguu (hii ni kwa mujibu wa ndugu wa marehemu huyo).

Comments are closed.