The House of Favourite Newspapers

Alikiba Kafuta Wimbo Wake Mpya ‘HELA’ YouTube

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’.

VIDEO ya wimbo mpya wa mkali wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’, uitwao ‘Hela’ umefutwa katika mtandao wa YouTube saa chache baada ya kuuachia usiku wa kuamkia leo Oktoba 3, 2018.

Inasemekana kuwa msanii huyo amefuta wimbo huo  baada ya mashabiki wake kuponda video hiyo huku wengine wakidai kwamba amerudia wimbo wake wa zamani na kuubadili kidogo kisha kuuachia kama wimbo mpya.

Comments are closed.