Alikiba: Mimi Siishi Kistaa Kama Wasanii Wengine

MSANII maarufu wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba, aliyekuwa miongoni wa mastaa waliohudhuria  uzinduzi wa filamu mpya ya msanii Gabo uliofanyika jana katika ukumbi wa sinema wa Mlimani City, amesema yeye hana haja kuishi maisha ya kistaa kama walivyo wasanii wengine na kwamba anayafurahia maisha hayo.

 

Kiba alikuwa katika uzinduzi wa failamu hiyo iliyopewa jina la SIYABONGA ambayo imekuwa filamu ya kwanza kuwekwa kwenye Platform ya SWAHILIFLIX na mashaabiki wanaweza kuingalia kwa  kuipakua kwenye simu zao.

 

Kuyafahamu mengi zaidi aliyosema Kiba, fungua video hapo chini.

TAZAMA ALIKIBA AKIFUNGUKA


Loading...

Toa comment