The House of Favourite Newspapers

Alikiba na Abdukiba Walivyomzika Baba Yao Makaburi Ya Kisutu

Waombolezaji wa kiomba dua mara ya baada ya kumaliza shughuli ya maziko ya Baba wa mwanamuzi, Alikiba, mzee Salehe Kiba yaliofanyika jana kwenye Makaburi ya Kisutu.
Wakati shughuli ya mazishi ilivyokuwa ikiendelea.
Abdulkiba na Alikiba waliovaa Kanzu nyeupe wakiwa ndani ya kaburi kumzika baba yao
Alikiba na Abdukiba wakiweka udongo kaburini.
Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii DK Hamisi Kigwangala akiwa na Mhariri Mtendaji wa GlobalPublisher, Saleh Ally wakiwa makaburini na waombolezaji wengine.
Young Killer Msodoki akiwa na waombolezaji wengine makaburini.
Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii DK Hamisi Kigwangala akifanya mahojiano na Global TV Online.

BABA wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ally Kiba, marehemu Saleh Kiba ambaye alifariki juzi asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mazishi hayo yalihudhuriwa na umati wa waombolezaji akiwemo Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalah.

Comments are closed.