The House of Favourite Newspapers

ALIKIBA NA MKEWE AMINA WALIVYOINGIA UKUMBINI -VIDEO

STAA wa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na mkewe, Amina raia wa Kenya wameingia katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena uliyopo Posta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusherehekea harusi yao usiku huu wa Aprili 29, 2018.

Katika sherehe hizo ambazo pia zinahusisha harusi ya mdogo wake Alikiba, Abdu Kiba na mkewe, Ruwayda imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Naibu Waziri wa Kazi, Anthony Mavunde.

Tazama picha hizi.

Picha na Azam TV.

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO

Comments are closed.