Aliyemlipia Pesa ya Dhamana R Kelly, Adai Pesa Zake

Singer R. Kelly turns to leave after appearing at a hearing at the Leighton Criminal Courthouse on September 17, 2019 in Chicago, Illinois. Kelly is facing multiple sexual assault charges and is being held without bail.

MKONGWE wa muziki nchini Marekani, R Kelly jana alifikishwa mahakamani ili kusikiliza moja ya kesi yake zinazomkabili ambapo kwa mara ya kwanza alikuwa na mavazi ya wafungwa tangu alivyokamatwa mwezi Julai mwaka huu.

Singer R. Kelly appears standing beside his attorney, Steven Greenberg during a hearing at the Leighton Criminal Courthouse on September 17, 2019

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mwanamke mmoja aliyekuwa akimsaidia mwanamuziki R Kelly kwa kumlipia pesa ya dhamana ameibuka na kudai alipwe pesa zake.  Mwanamke huyo amefunguka kuwa aliamua kumlipia pesa ya dhamana mwanamuziki huyo  kwa sababu alikuwa anaamini hana hatia.
.


Loading...

Toa comment