The House of Favourite Newspapers

Aliyenusurika Ajali Iliyoua Watanzania 13 Uganda Afunguka -Video

0

KUFUATIA ajali mbaya ya Lori aina ya Fuso na basi aina ya Coaster kugongana nchini Uganda na kusababisha vifo vya Watanzania 13 waliokuwa wakitoka kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yao nchini humo, kijana mmoja ambaya alinusurika kwenye ajali hiyo amefunguka A-Z ajali hiyo ilivyotokea na yeye kusalimika.

VIDEO YA MANUSURA HUYO AKIFUNGUKA

Leave A Reply