The House of Favourite Newspapers

Aliyevimba Mguu Kimaajabu Apelekwa India – Video

Hatimaye kijana, Goodluck Frank Minja, ambaye anasumbuliwa na uvimbe mkubwa katika mguu wake wa kulia amefanikiwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya kupatiwa msaada wa wasamaria wema walioguswa baada ya kuona video yake kupitia Global TV…

Comments are closed.