The House of Favourite Newspapers

Aliyezaa na MUNA Afunguka “Eti Mwanae Kafa, Namshtaki” – Video

KUFUATIA Sakata la Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, kudaiwa kumtelekeza mtoto wake mkubwa anayeitwa Bryan huko Moshi kijijini, Global TV imemtafuta Baba mzazi wa mtoto huyo ambaye alikuwa Mume wa Muna anayefahamika kwa jina la Fredy na kuzungumza naye kuhusu ukweli wa jambo hilo.

 

Katika mahojiano hayo, Fredy amesema baada ya kuzagaa kwa taarifa hizo na kutua masikioni mwa Muna alinyanyua simu na kumpigia mzazi mwenziye huyo ambapo hawakuelewana badala yake waliishia kutoleana maneno machafu.

VIDEO: MSIKIE ALICHOKISEMA

Comments are closed.