ALIYOYAFANYA NDUMBARO MIEZI 18 TOKA AWE MBUNGE

ALIYOYAFANYA Mbunge wa Songea Mjini, Dk. Damas Ndumbaro na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa muda wa miezi 18 tangu awe mbunge.

Ni mbunge anayekubalika kwa viongozi wakubwa wa kitaifa huku wananchi wakisema kuwa
“Wanasongea ni wachapakazi wanachagua Mchapakazi Mwenzao”

KWA KIFUPI TUONE NINI KAFANYA NDUMBARO KWA MIEZI 18 TOKA AWE MBUNGE WETU;-
1. Ameleta zaidi ya Mil. 500 kukarabati maabara na akujenga vyumba VYA Madarasa.
2. Amewezesha Ukarabati Wa Shule kongwe za SONGEA Boys na SONGEA Girls.
3. Amewezesha Ujenzi Wa Kituo cha AFYA cha RUVUMA.
4. Amewezesha Uboreshaji Wa BARABARA KATIKA Manispaa kwa kiwango Cha kimataifa
5. Amewezesha kuitangaza nchi YETU kimataifa na JIMBO LETU pia.
6. Amewezesha Usambaza Wa UMEME WA REA KATIKA Manispaa ya SONGEA.
7. Amewezesha Usambazaji Wa Maji kwa wingi KATIKA Manispaa ya SONGEA.
8.Amewezesha Ujenzi Wa Miradi mikubwa katika Manispaa YETU ikiwemo Machinjio na stendi Mpya Shule ya Tanga


9. AMESIMAMIA NA KUHAKUKISHA UTOAJI WA FEDHA ZA MIKOPO KWA AKINA MAMA NA VIJANA.

10.AMEENDELEA KUIMARISHA MICHEZO NDANI YA MANISPAA YA SONGEA HASA KUPITIA MAJIMAJI SELEBUKA

11. ANAENDELEA KUFANYA MIKAKATI KUHAKIKISHA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA ZINAPATA MABWENI/ HOSTELI. SHULE KAMA SILI, MDANDAMO, CHANDARUA, NA ZINGINE PIA.

12. AMERUDISHA NDEGE YETU ILIYOPORWA SOUTH AFRIKA

13. AMEWEZESHA UKARABATI WA UWANJA WA NDEGE WA SONGEA AMBAPO ZAIDI YA *BILLION 38* ZITATUMIKA HUKO *HONGERA DR. DAMAS NDUMBARO

KAMA MIEZI 18 UMEFANYA YOTE HAYO! *TUKIKUPA MIAKA MINGINE 15 ITAPENDEZA ZAIDI*


Loading...

Toa comment