The House of Favourite Newspapers

 Amber Lulu hajawahi kuolewa jamani!

MWANADADA chakaramu kuna­ko Bongo Fle­va, Lulu Aug­gen ‘Amber Lulu’ ameruka mita mia moja kuwa haja­wahi kuolewa bali watu wan­amfananisha.

Amber Lulu ameli­ambia Gazeti la Ijumaa kuwa, kuna watu wa­nasambaza picha ikimuonesha akifun­ga ndoa, lakini ukweli ni kwamba siyo yeye, bali ni kufanana tu na huyo bibi ha­rusi ambaye anaitwa Am­ber Rapa.

“Sijawahi kuonja ladha ya ndoa hivyo naomba watu wasinichu­rie. Huyo msichana anayeseme­kana ni mimi ni Amber Rapa na siyo mimi,” alise­ma Amber Lulu.

Stori: Imelda Mtema

Comments are closed.