Amber Rose Ajifungua Mtoto Wapili Wakiume

MWANAMITINDO maarufu Amber Rose amefanikiwa kujifungua mtoto wa kiume aliye bahatika kumpata na mpenzi wake AE Edwards usiku wa kuamkia leo.

Amber ameshare picha na video kupitia ukurasa wake wa IG, moja akiwa kwenye chumba chakujifungua, pembeni akionekana EA akimsubiri kwa hamu mtoto wao

Slash ndio jina alilopewa mtoto huyo, mtoto ambaye si wa kwanza kwa Amber kwani Model huyo ana mtoto wa kiume na Rapper Wiz Khalifa anayeitwa Sebastian.


Loading...

Toa comment