The House of Favourite Newspapers

Amber Rose Anasa Mimba!

 

Mwanamitindo tishio, Amber Rose.

MWANAMITINDO tishio, Amber Rose amenasa ujauzito kutoka kwa mchumba wake ambaye ni rapa, 21 Savage baada ya kuonekana katika mtoko tumbo likiwa kubwa.

 

Inaelezwa kuwa, wawili hao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya awali Amber kuzaa na rapa Wiz Khalifa kabla ya kutemana 2014.

 

“Ni miezi kadhaa Amber anaonekana kutulia na Savage na amekuwa mtu mtulivu. Savage anamchukulia kama malkia, amekuwa akimpa zawadi mbalimbali za meseji, chocolate, maua na almasi na sasa mimba,” kilisema chanzo.

Comments are closed.