Amber Rutty: Muziki Unaniweka Mjini

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Mascat Abou-bakary ‘Am-ber Ru-tty’ amefu-nguka kuwa kwa sasa muziki unamuweka mjini kwani amekuwa akipata shoo kibao.

Akipiga stori na Showbiz Xtra, Amber Rutty alisema anams-hukuru Mungu kwa kuwa muziki wake unamlipa vilivyo na kama ungekuwa kinyume na hapo angekuwa ameshaachana nao siku nyingi.

“Muziki unanilipa na nimekuwa nikipata shoo nyingi hapa Dar na mikoani ndiyo maana ninaendelea nao lakini ingekuwa sivyo ningekuwa nimeshaacha,” alisema Amber Rutty.

SHOWBIZ XTRA


Loading...

Toa comment