Amina Vikoba: Mume Wangu Alikuwa Mpenzi Wangu Utotoni – Video

Mwigizaji na dada wa msanii maarufu wa singeli, Amina Vikoba, amefanya mahojiano na Zari Mapito wa Global TV, ambapo amezungumzia madai yanayosambaa kuhusu mume wake kuwa na mwanamke mwingine.
Amina amekanusha tetesi hizo na kufafanua kuwa anamfahamu mume wake wa sasa kwa muda mrefu, hata kabla ya ndoa yake ya kwanza.