visa

Bagamoyo Yatikisika Wakati JWTZ Ikionesha Uwezo Wake Wa Kijeshi Mbele Ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli!

 
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Davies Mwamunyange  alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi  alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu  wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Kipilimba alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu   alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini Afande  John Casmir Minja alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna  Valentino Mlowola alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na  Kaimu Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mama  Victoria Lembeli alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea saluti toka kwa  Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi   alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi  alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
 
 
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Robert Mboma alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Mama suzana Mlawi.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Majenerali wa JWTZ.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hizo Meja Jenerali James Mwakibolwa.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuweka saini katika kitabu cha wageni akishuhudiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine akisikiliza muhtasari wa zoezi hilo.
Wanadhimu wa zoezi.
Sehemu ya wasimamizi wa zoezi hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hizo Meja Jenerali James Mwakibolwa akisoma taarifa.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine akisikiliza muhtasari wa zoezi hili.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine akisikiliza muhtasari wa zoezi hili.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Robert Mboma.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange kabla ya kuelekea kwenye uwanja wa zoezi la Medani.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongozana  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange kuelekea kwenye uwanja wa zoezi la Medani
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongozana  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi kuelekea kwenye uwanja wa zoezi la Medani.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongozana  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na  kuelekea kwenye uwanja wa zoezi la Medani.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa akiwa  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa akiwa  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hilo Meja Jenerali James Mwakibolwa (kushoto).
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi (kulia) na mmoja wa washereheshaji Meja BMP Mlunga wakipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa.
Brass band ya JWTZ ikiwa tayari tayari.
Mcheza ngoma hodari wa kikundi cha sanaa cha JWTZ  Private Juma Abdulrahman Juma akikaribishwa jukwaa kuu kupewa zawadi kwa burudani nzuri iliyooneshwa na kikundi chake.
Mcheza ngoma hodari wa kikundi cha sanaa cha JWTZ  Private Juma Abdulrahman Juma akiendelea kutoa burdani baada ya kukaribishwa jukwaa kuu kupewa zawadi kwa kazi  nzuri iliyooneshwa na kikundi chake.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimtuza  Private Juma Abdulrahman Juma kwa niaba ya wenzie kwa burudani nzuri.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpongexza kwa burudani nzuri  Private Juma Abdulrahman Juma kwa niaba ya wenzie.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akimtuza  Private Juma Abdulrahman Juma kwa niaba ya wenzie.
Makamanda wakipiga bastola za miali kuashiria kuanza kwa zoezi hilo la medani.
Kazi imeanza….
Ndege vita zikiwa katika fomesheni.
Ndege vita angani.Sehemu ya ndege vita.
Boti za kikosi maalumu zikielekea ngome ya adui.
Vifaru vinavyotembea majini na ardhini vikikaribia ngome ya adui.
Vifaru vinatoka majini na kuendelea na mashambulizi nchi kavu.
Makamanda wakiongoza shambulizi.
Wapiganaji wakishuhudia zoezi la medani.
Makamanda wakibadilishana mawazo.
Makamanda wakiwasiliana na walio uwanja wa vita.
Hali tete ngome ya adui.
Kikundi cha sanaa cha JWTZ kikitoa burudani wakati wa kusubiri zoezi lingine lianze.
Kikundi cha sanaa cha JWTZ kikitoa burudani wakati wa kusubiri zoezi lingine lianze.
Kikundi cha sanaa cha JWTZ kikitoa burudani wakati wa kusubiri zoezi lingine lianze.
Meja Jenerali Mwakibolwa akitoa maelekezo kwa washereheshaji.
Meza kuu ikifurahia.
Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea jambo na Mkuu wa Majeshi Jemerali Davies Mwamunyange.
Meza kuu ikibadilishana haya na yale.
Hatimaye zoezi la kumtoa adui limekamilika kwa mafanikio na wapiganaji wanaelekea uwanja wa sherehe.
Wapiganaji wanarudi kishujaa.
Furaha ya ushindi baada ya mapambano ya anga, majini na ardhini.
Meza kuu ikiwapokea wapiganaji.
Mori juu!
Kikosi maalumu cha majini.
Meza kuu
Nderemo za ushindi zikishuhudiwa na meza kuu
Wapiganaji wakiwa uwanja wa sherehe
Wapiganaji mbele ya wakuu
Bendera za zikipepea mbele ya wapiganaji
Bendi ya muziki ya JWTZ Mwenge Jazz Band “Wana Paselepa” ikitumbuiza wimbo wa mashujaa
Amiri Jeshi Mkuu anajiunga kunogesha burudani wakati  Bendi ya muziki ya JWTZ Mwenge Jazz Band “Wana Paselepa” wakati ikitumbuiza wimbo wa mashujaa
Amiri Jeshi Mkuu anajiunga kunogesha burudani wakati  Bendi ya muziki ya JWTZ Mwenge Jazz Band “Wana Paselepa” wakati ikitumbuiza wimbo wa mashujaa
Furaha tu wakati Amiri Jeshi Mkuu anajiunga kunogesha burudani wakati  Bendi ya muziki ya JWTZ Mwenge Jazz Band “Wana Paselepa” wakati ikitumbuiza wimbo wa mashujaa
Washereheshaji wakipokea maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hilo Meja Jenerali James Mwakibolwa
Wapiganaji wakiselebuka midundo murua ya  Paselepa…
Wapiganaji kutoka JWTZ, JKT na mgambo walioshiriki kikamilifu katika zoezi hilo
Wanahabari wakiwa kazini kurekozi tukio hilo la aina yake
Bingwa wa zamani wa ndondi za uzito wa juu wa Taifa Makoye Isangula (kulia) akiwa na kikosi chake
Ndege vita zikikaribia kumaliza kazi
Wapiganaji wa kikosi cha mgambo
Amiri Jeshi Mkuu akiongea na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
Ndege vita zikipita kwa mara ya mwisho
Kiongozi wa ndege vita akitoa saluti maalumu kwa Amiri Jeshi Mkuu
 
Mkuu wa Majeshi akikabidhiwa bendera ya zoezi hilo la medani
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akikabidhi bendera kwa mpiganaji kuirudisha makao makuu kuashiria hitimisho la zoezi hilo.
Mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akisoma risala yake.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi akisoma hotuba yake na kumkaribisha viongozi wakuu  kuongea na wapiganaji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiongea na wapiganaji.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wapiganaji.
Wapiganaji wakimsikiliza kwa makini Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wapiganaji wakifurahia hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wakiemndelea kumsikiliza Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wapiganaji wakimpigia makofi Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Vifijo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kuhutubia.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo katika hotuba yake.
Wapiganaji wakifurahia hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wapiganaji wakishangilia hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wanamgambo wanamshukuru Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwapa ajira papo kwa papo.
Wapiganaji.
Furaha na msisimko.
Mpiganaji.
Mpiganaji.
Jukwaa kuu.
Bingwa wa zamani wa Taifa wa ndondi za uzito wa juu Makoye Isangula na kikosi chake.
wapiganaji wakakamavu kikosi cha mgambo.
Saluti wakati wa wimbo wa Taifa.
Ukakamavu wakati wa wimbo wa Taifa.
Saluti kwa wimbo wa Taifa.
Saluti.
 
Amiri Jeshi Mkuu akiagana na wapiganaji.
Kazi nzuri vijana wangu…..
Hongereni sana kwa kazi nzuri…..
Hongera sana vijana 
Safi sana….
Hongera sana….
Kwaherini vijana
Amiri Jeshi Mkuu akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mhe. Assumpter Mshama.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiondoka eneo la tukio kwa ukakamavu.
PICHA: ISSA MICHUZI.
 
 Toa comment