The House of Favourite Newspapers

Amos Makalla Achukua nafasi ya Paul Makonda CCM

0

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Amos Makalla kuwa Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo akichukua nafasi ya Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Makalla ameteuliwa katika wadhifa huo na Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana leo chini ya mwenyekiti wake, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

 

Leave A Reply