Kartra

Amuua Ndugu Yake Kisa Nyama Ya 1500, RPC Maigwa Athibitisha-Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Ndungi katika Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua ndugu yake, William Shoo kwa madai ya kukataa kuchangia nyama ya Sh1, 500 waliyonunua.


Toa comment