Anaconda Jike Humeza Dume Baada ya Kujamiiana

NYOKA aina ya anaconda jike (Female Green Anaconda), huwa na kawaida ya kuwala madume mara tu baada ya kujamiiana nao (hii inaitwa sexual cannibalism), sababu mojawapo inatajwa kuwa ni kwa ajili ya kuupa mwili nguvu ya awali kwa ajili ya urutubishaji wa mayai utakaoanza kufanyika.

 

Nyoka huyo jike ana wastani wa ukubwa mara 4.7 zaidi ya dume, wataalam wa viumbe wanasema hii ni kwa ajili ya kumlinda dume na maadui. Anasema Prof. Jesús Rivas, mtaalam wa viumbe hai kutoka New Mexico Highlands University, Las Vegas nchini Marekani.

 


Toa comment