The House of Favourite Newspapers

Ange Postecoglou Ateuliwa Kuwa Kocha wa Tottenham Spurs

0
Ange Postecoglou

Tottenham wamethibitisha kumteua Ange Postecoglou kama kocha wao mpya kwa kandarasi ya miaka minne.

Postecoglou, 57, anaondoka Celtic baada ya kushinda mataji mfululizo ya Primia katika misimu yake miwili ya uongozi.

Ni meneja wa nne wa kudumu wa Spurs tangu Mauricio Pochettino alipowaongoza kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2018-19, akiwafuata Jose Mourinho, Nuno Espirito Santo na Antonio Conte.

Leave A Reply