The House of Favourite Newspapers

#GlobalMusic: Anza Kuipanga Weekend Playlist Yako Na ‘Ballerz’ Mpya Kutoka Kwa Wande Coal – (Video)

Wazungu husema; “Thursday is the new Friday” hivyo sio mbaya ukianza kuipanga playlist yako ya weekend hii mapema, ukianza  na hii mpya kabisa kutoka kwa Wande Coal.

Wande Coal amerudi na mdundo mpya uitwao ‘Ballerz’ na hii ni special kwa wale wote wanaopenda kujiachia na kuenjoy kila ifikapo weekend.

All my guyz are ballerz, all my girls a are coming/ all my guys are ballerz, all my girls are coming (nah)/ Wah gwan you don’t know me, W.A.N.D.E Coal das’ how I roll, all de galz dey de come to my show/ Bad man you don’know me, W.A.N.D.E  Coal das’how I roll, all de galz dey de come to my show… ” 

Itazame video ya ‘Ballerz’ hapa chini.

 

IMEANDIKWA NA: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za masataamuziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

 

Comments are closed.