Anza Wikendi Yako na Meridianbet Leo, Bayer Leverkusen, Lazio Kukiwasha
Wikendi ndio hiyo imeanza ambapo ndani ya wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet nafasi ya wewe kuibuka bingwa ipo wazi kabisa. Suka jamvi lako hapa na utimize ndoto zako sasa.
Uingereza leo hii kama kawaida kuna mechi mbili za FA CUP ambapo Wycombe Wanderers atakichapa dhidi ya Portsmouth FC huku mwenyeji akiwa anakipiga kule Ligue 1 Uingereza, wakati kwa mgeni yeye yupo Championship. 2.28 kwa 2.95 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Huku mtanange mzito utakuwa ni kati ya Aston Villa vs West Ham United huku timu zote zinashiriki ligi kuu ambapo Villa ya Unai Emery wapo nafasi ya 8 na mgeni wake akiwa nafasi ya 14 hadi sasa. Mechi ya mwisho kukutana Wagonga Nyundo wa London walipoteza mechi. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi plae Villa Park?. Tandika jamvi lako mechi hii yenye ODDS 1.80 kwa 3.95.
Ibuka bingwa leo hii ndani ya Meridianbet kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Italia pia SERIE A inaendelea ambapo Lazio Rome baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Como 1907 ambao walishinda mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 17 pekee. Kila timu inahitaji ushindi leo hii ijiweke kwenye nafasi nzuri ya msimamo. 1.93 kwa 4.20 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Ujerumani BUNDESLIGA leo hii kutakuwa na mtanange mzito haswa kati ya Borussia Dortmund vs Bayer Leverkusen ambapo mechi za msimu uliopita zote walizokutana walitoa sare. Tofauti ya pointi kati yao ni 7 pekee huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mgeni kwa ODDS 2.48 kwa 2.80. Jisajili hapa.
LALIGA pia inatarajiwa kuendelea leo hii ambapo Rayo Vallecano baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Celta Vigo ambao walishinda mechi yao iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 12 na mgeni wake yupo nafasi ya 11 yaani wamefatana kwenye msimamo. ODDS za mechi hii ni 2.80 kwa 2.80. Bashiri hapa.
Kule Ufaransa pia LIGUE 1 pia inaendelea FC Nantes atakiwasha dhidi ya AS Monaco ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mwenyeji kwenye mechi 16 kashinda 3 pekee huku mgeni wake akishinda 9. Mechi ya mwisho kukutana, Monaco aliibuka bingwa, hivyo leo mwenyeji anataka kulipa kisasi. Je ataweza mbele ya mgeni wake anayeshika nafasi ya 3?. Mechi hii imepewa ODDS 4.70 kwa 1.76. Jisajili hapa.
Na usiku wa saa 5:05, AJ Auxerre atapepetana dhidi ya Lille OSC ambapo mechi ya mwisho waliyokutana walitoa sare. Leo hii kila mtu anahitaji pointi 3 za uhakika huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wakimpendelea mgeni kuondoka na pointi 3 kwa ODDS 1.75 kwa 4.70. Bashiri hapa.