The House of Favourite Newspapers

APPLE SASA YAMILIKI MATRILIONI YA FEDHA

 

Tokeo la picha la apple company

KAMPUNI  maarufu ya Marekani katika masuala ya teknolojia, Apple,  sasa inamiliki matrilioni ya fedha ambapo hisa zake, ilipofika Agosti 2 mwaka huu,  zilifikia  Dola 207.05 (Sh. 472).

Apple iliyoanzishwa 1976 na mmoja wa waasisi-mwenza wake, hayati Steve Jobs,  imekuwa moja ya makampuni makubwa ya kompyuta na magari duniani.

Baada ya mauzo makubwa katika theluthi ya mauzo ya mwaka, ilikia Dola tri. 1 na hivyo kuinua mapato yake kwa Dola bil. 935.

Comments are closed.