Arsenal yaikalisha Leicester City 2-1

31322B0800000578-3446566-image-a-45_1455454719383

Straika wa Leicester City, Jamie Vardy, akiifunga timu yake bao kwa njia ya mkwaju wa penalti dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Emirates. Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 2-1.

3132A1EF00000578-3446566-image-a-111_1455458333767Straika wa Arsenal, Danny Welbeck (kushoto) akishangilia bao la ushindi aliloifungia timu yake dhidi ya Leicester City. Kulia ni Alexis Sanchez. 

31323BED00000578-3446566-image-a-77_1455454925391

Vardy akipongezwa na mchezaji mwenzake, Marc Albrighton baada ya kufunga bao kwa penalti dhidi ya Arsenal.

31324B3400000578-3446566-image-a-86_1455455482145

Mchezaji wa Leicester, Luke Simpson akimzuia Mesut Ozil wa Arsenal.

31324FAD00000578-3446566-image-a-89_1455455697605

Simpson (17) akioneshwa kadi nyekundu na mwamuzi, Martin Atkinson baada ya kumchezea vibaya Olivier Giroud wa Arsenal.

31326B3900000578-3446566-image-a-90_1455456733986

Theo Walcott (14) akiifungia Arsenal bao la kusawazisha dhidi ya Leicester.

31326DCC00000578-3446566-image-a-93_1455456869824

Walcott (katikati) akishangilia bao lake pamoja na Sanchez (kushoto) na Ozil.

Loading...

Toa comment