Arsenal Yashinda Bao 5-1 Dhidi ya Fulham
Timu ya Arsenal imeibuka na ushindi dhidi ya Fulham wakiwa nyumbani kwao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-1.
Wafungaji wa timu ya Arsenal ni Alexandre Lacazette amefunga mabo dakika ya dakika ya 29 na pili dakik aya 49.
Aaron Ramsey aliweka wavuni bao la tatu dakik ya 67 wakati Pierre Emerick Aubemeyang akitupia wavuni mabao mawili dakika ya 79 na 90.
Ushindi huo mnono umeacha tabasamu kwa mashabiki wa Arsenal ikiimarisha katika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu England.
Fulham (4-2-3-1): Bettinelli, Christie, Odoi, Ream (Kamara 54), Le Marchand, Seri, Anguissa (McDonald 62), Vietto (Johansen 83), Schurrle, R Sessegnon, Mitrovic
Subs not used: Ayite, Sergio Rico, Mawson, S Sessegnon
Scorers: Schurrle 44
Booked: Vietto, Schurrle
Arsenal (4-2-3-1): Leno, Bellerin, Holding, Mustafi, Monreal, Torreira, Xhaka, Mkhitaryan, Iwobi (Ramsey 67), Welbeck (Aubameyang 62), Lacazette (Guendouzi 81)
Subs not used: Martinez; Sokratis, Lichtsteiner, Kolasinac
Scorers: Lacazette 29, 49; Ramsey 68; Aubameyang 79, 91
Referee: Paul Tierney
Att: 25,401
Comments are closed.